Wanaume njooni tuongee

Dunia ingekuwa mahali salama pa kuishi kama wanawake wote wangekua hivi.
 
Tumekuelewa dada, maneno mazuri yenye hekima.
 

Mkuu
Ukiangalia uzi wa mtoa mada unaona wanaomba poo usawa hawauwezi (kumbuka mwanamke ni kiumbe dhaifu ) ila ni kweli wanakimbilia kwa vibabu vyenye pesa then wanakuja kuleta dharau kwenye ndoa zao kwa kisingizio kudai haki, uhuru, kumiliki, usawa.

Wanatakiwa wawe na zoezi endelevu la kujirekebisha tabia zao hizo ovu, tuwasamehe na tuwasaidie kurudi kwenye mstari. Hizo kazi udereva nk wana udhaifu wa hedhi kulea mimba hivyo hawezi kuwa sawa na wanaume ni kuwasaidia kwa walio tayari kusaidiwa waheshimuo waume zao na kuwasikiliza .
 
Kwa kuwa mmeamua kuchukua njia mnayoijua kuifuata basi nasi tumewaacha muende huko huko mnapopaamini.
 
Nimeahirisha mara kadhaa kwenda kwao na mpenzi wangu nikatambulike sababu ya ujinga wake, kila tukipanga kwenda kuna mambo ananifanyia nafikia kubatilisha maamuzi. Muwe na heshima halafu mtuachie hizo kazi za majukumu.
 
Moja kati ya ke anaejitambua hapa duniani.
 
Umeongea mambo kuntu tupu, kongole kwa maoni yako mazuri!!!!
 
Tupo tunajua majukumu yetu ila mnakatisha tamaa,, Sana siku mkijielewa tutarejea na kuendelea pale tulipoachia
 
Hauna Baba?
 
Nimeisoma! Nmeielewa! Nmenukuu jambo zuri ahsante dada
 
Basi mnajionaaa😛

...🏃🏼‍♀️
 
Hivi si nyinyi mnaosema hamtaki kutawaliwa na kufuatwa fuatwa, mnataka kuwa huru au mmejisahau? Kwa kweli wanawake hamueleweki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…