swit sasha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 270
- 206
- Thread starter
-
- #21
So it's fine for a man to have multiple sexual relationship?According to the bible, a woman was built off a man's rib, and a man got more than 10 ribs. So mathematically, religiously, biologically, and physically, we got rooms for many.
Kuwa na mazoea na mwanaume mwingine haimaanishi ni wapenzi, ila nyie wanaume sasa mnatongoza na kufanya kweli kabisah halafu mnaona kawaida. Not fair at all!Its very complex and complicated... Na kama usingizi na kifo...
Hata mwanamke nae anaweza akawa na mpenzi na bado akakubali mazoea na mwanaume mwingine...
Cc: mahondaw
Kuna clip ya masudi kipanya nashindwa kuiweka hapa, ila ngoja nijaribu amsikilize mwenyewe, halafu asome signature yangu ataelewaHao wengine atakuwa anawatongoza kwa ngono tu si mapenzi.
Kwani uongo mkuu? Fuatilia wanaume wenye vimbaombao nyumbani huku mtaani wanahangaika na vyura. Wale wenye vyura nyumbani huku mtaani wanahangaika na vi-mobitelYameanza kutoka majibu yenye uzito!
Kwahyo dhumuni ni kubadilisha ladha? Mtamaliza mabucha nyama ni ile ile, Hakuna jipya.Sio kila mda unakula maharagwe, mda mwingine hata njegere kidogo.
Hakuna mazoea ya kudumu kati ya mwanaume na mwanamke...Kuwa na mazoea na mwanaume mwingine haimaanishi ni wapenzi, ila nyie wanaume sasa mnatongoza na kufanya kweli kabisah halafu mnaona kawaida. Not fair at all!
Ni kweli mkuu,kwa mfano mimi napenda wenye chura na vimbaombao kwa mpigo!!Kwani uongo mkuu? Fuatilia wanaume wenye vimbaombao nyumbani huku mtaani wanahangaika na vyura. Wale wenye vyura nyumbani huku mtaani wanahangaika na vi-mobitel
Mwenyekiti wa kudumu wa chama cha wanaume.Kuna clip ya masudi kipanya nashindwa kuiweka hapa, ila ngoja nijaribu amsikilize mwenyewe, halafu asome signature yangu ataelewa
Haha haha inategemeana hata chumba cha butcher kilivyo jengwa.Kwahyo dhumuni ni kubadilisha ladha? Mtamaliza mabucha nyama ni ile ile, Hakuna jipya.
Dawa ni hiyo hapo kwa signature yangu mdogo wangu, hayo mengine mnadanganyana tu siku ziende. Tabia ya mwanaume kuonja honja kama jogoo vileKwa hii sentensi nimeamini ni vigumu sana kumridhisha mwanaume
Je na nyie mnaweza kutuvumilia tukitamani mishidede ya aina tofauti tofauti? Au kuna double standards?Sisi mtuvumilie
Hahaaaa duuhMwenyekiti wa kudumu wa chama cha wanaume.
Mwanamke hajaumbwa kuolewa na wanaume wengi!Je na nyie mnaweza kutuvumilia tukitamani mishidede ya aina tofauti tofauti? Au kuna double standards?