swit sasha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 270
- 205
Inawezekana kbs haswa kama ww mwanamke uliyependwa hujui wajibu wakoMambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Mimi mwanamme nakujibu hivi.Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Hao wengine atakuwa anawatongoza kwa ngono tu si mapenzi.Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Sasa Kama mtu anatongoza hovyo kuna uaminifu hapo?Ndio ni rahisi kama kumsukuma mlevi,kukupenda wewe sio kigezo cha kutokupenda pengine.Cha muhimu labda useme UAMINIFU.
Sisi mtuvumilieSio akawa mwingine kaoa Kabisa bado anatongoza. Mapenzi hayana Formula inawezekana kweli ama sikweli
Yameanza kutoka majibu yenye uzito!Hao wengine atakuwa anawatongoza kwa ngono tu si mapenzi.
Kwa hii sentensi nimeamini ni vigumu sana kumridhisha mwanaumeMfano mimi huwa napenda wenye chura na vimbaombao kwa mpigo,sasa kama wewe ni mpenzi wangu na una chura halafu nikamwona kimbaombao nitaachaje kumpenda kwa mfano!!
HahaaaaaaaYameanza kutoka majibu yenye uzito!
Mmmh hatari....MOYO UNA CHEMBA NNE, SO ZOTE ZINATAKIWA KUJAZWA NA WANAWAKE