Kwanza sio suala la Wanaume kwa ujumla,ni suala la huyo huyo,watu wana tabia tofauti,kwani huyo ni mwanaume wa kwanza kwa huyo binti mpaka awageneralazi wote?Amkague wa nyuma aone kama alikua hivyo.Pili hiyo ilikua outing,inawezekana jamaa alimkonsida kama rafiki wa kawaida mdada mwenyewe akajiresi kuwa jamaa anamtokea,kwani outing ni lazima uwe na unaemfukuzia?