para panda
Member
- Jul 16, 2018
- 14
- 10
HIV unayo hata kabla hujabanjuka walishakuwekea zamani wanasubiri kuuactivate tuAm not like them... am unique with special codes...
Hakuna kulala, hata kama hujala......
HIV unayo hata kabla hujabanjuka walishakuwekea zamani wanasubiri kuuactivate tu
Piga kavu tu mama hata kama utatumia domu kama walishakuwekea utaupata tu
Unatamani lugha ya kupendeza kwenye hatariKuna namna nzuri ya kuwashawishi watu kuacha uzinzi bila kuwatisha!
Na jomba ukithubutu ndani ya wiki sita hizi utatimiza aganona wewe ambae sio mzinzi ujue utanasa tu,kwenye kisukari au kansa then bandiko lako halitokuwa na maana yeyote,kumbuka kuwa kilio hakifiwi!
Watu tumekuwa tukijinasibu 'ulokole' kwenye kadamnasi kwa ajili ya unafiki wetu.Unatamani lugha ya kupendeza kwenye hatari
Mjomba ukimwi ni mbaya unatesa.usijifariji.uzinzi sio jambo jema kama wewe mzinzi hakika hautobaki salama piga dry,beach soka utanasa tuWatu tumekuwa tukijinasibu 'ulokole' kwenye kadamnasi kwa ajili ya unafiki wetu.
Muanzisha mada, umekuwa kimaadili kwa kiwango gani cha kujitosheleza mwenyewe, hadi uanze kuhubiri na kuiona kavukavu kwako ni chukizo, uione ni ovyo, yaani kwako na nafsi yako ikiri kuwa ni mbaya?
Watu mmekuwa mkitengeneza pesa kwa ajili ya kujenga hofu kwenye saikolojia za watu na kuukwaa ukwasi na kuishi maisha ya kifahari!
Kwanini usielekeze mada yako kuishauri jamii kujiepusha na uchafu na kuishi katika mazingira ya usafi ili kuepuka magonjwa ya milipuko yanayoua zaidi kuliko ukimwi?
Bali unaendeleza yale yale ya kujikinga na maambukizi ambayo tayari kuna watu wa kada hiyo ya kuhamasisha.
Hayo mambo sijui ya kavukavu, sijui condom nk nk ni kuhofisha na kuchanganya watu tu!
Hivi ukimwi unavyofahamika kuliko hata wimbo wa taifa, kuna haja ya kukumbushana kuimba verse zake, kama siyo kuhadaa akili za watu kutaka chochote kitu?
Kavu kavu ndiyo kila kitu, tukiendekeza kuvaliana maputo kama unavyotaka kuogopesha watu, kuzaliana itakuwa ni hadithi na ni kwenda kinyume na maagizo ya mh. Rais ya kuzaliana bila mpango ili kuongeza idadi ya raia, ili mradi mtu uwe na uwezo wa kulisha.
Wacha kupotosha!
Tatizo ume base sana kujiogopesha na kuogopesha.Mjomba ukimwi ni mbaya unatesa.usijifariji.uzinzi sio jambo jema kama wewe mzinzi hakika hautobaki salama piga dry,beach soka utanasa tu
Naisubiri hiyo ......
Hahahaaaaa
Msemo wa mwaya niliukuta handeni ......haya mwaya ....mwaya....mwayaKila la kheri mwaya maana yavuta kheri ila ujiandae maana yaumiza matumbo pia...