wanaume na wanawake wasomi

wanaume na wanawake wasomi

mkalimwafrika

Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
45
Reaction score
7
Hivi ni sahihi kwa wanaume kuogopa kuoa wanawake wasomi, mi nadhani c sahih coz mwanaume kuogop kuoa msomi ni kujivua badhi ya kuw kichwa na kumpa mwanamke...achen uoga oaneni na muapndao ragardless wana stutas gan au vp wakuu
 
Sio kweli watu wanaogopa kuoa wanawake wasomi!....hakuna facts zinazo onesha hicho unachokisema!
 
We oa mwenye Phd then wewe una form for ya mulugo uone cha moto. Si unalopoka tu huwajui wanawake!!
 
ingekua wanawake wasomo hawaolewi kungekua na idadi kubwa ya wanawake wasomi single. Mi sioni kama wasomi ni wengi kuliko ambao hawajasoma...
 
nini kinabadilka ukioa au kulewa na msomi?
 
Thread yenyewe umeiandika andika tu!! Iko rafu rafu

Anyway unavodhani ni sahihi,lakini mapenzi hayachagui na mara nyng watu huoa wenzi wanaorandana kwa mambo fulani fulani.
Mfano:mtu wa mashine kumwoa msichana wa kazi si ajabu
 
Back
Top Bottom