Mna visingizio nyieee.........Hivi, if l may ask; umegombana/zozana/korofishana (whaterver) na mpenzio unategemea atakuwa na nge (hamu ya tendo la ndoa) na wewe? Au unataka afanye tu kwa kutimiza wajibu? Kama hiyo ndio mnaita kuadhibu nitakubali lakini l thought ile kitu inahitaji romantic atmosphere fulani hivi.
Aisee mimi hapo hakuna hata moja linalonibana; labda kiduuuuuchu no 6; l mean kiduuuuchu!
6. Wanawake wanalalamikiwa na wanaume kwamba, hali zao za kihisia huwa hazitabiriki. Yaani huwa zinabadilika kufuatana na mabadiliko ya miili yao ya kihomoni miilini mwao nyakati kama zile za siku zao(hedhi), nyakati za ujauzito na hata wanapokoma kuziona siku zao(menopause)
Mna visingizio nyieee.........
Mweh.....Mshaanza kutafuta vijisababu vya KISAYANSI, ili tukubali hiyo excuse..........................Hiyo No4 kwa kila pande imenivuta kuchangia uzi wako babu, kwanza shikamoo.
Mi napenda sana kucheza na ukijidanganya unikorofishe ili upitishe ratiba kwa kuwa tu ume do huko mtaa wa pili utachemsha, kwani unapofanya hii kitu sawasawa na kuridhika vema inasababisha hamu ya kula chakula, unywaji wa pombe na wale wavutaji sigara hupunguziwa hamu. na endapo tendo hili litafanyika kwa ufanisi huo huo angalau x3/7 unakuwa sawa na mtu aliyekuwa anafanya mazoezi ya kukimbia 45-50km, hivyo kusaidia kupunguza nyama zisizo za lazima mwilini endapo utazingatia kanuni.
Mwanamke:
Tendo la ndoa linasababisha kiwango cha hormone ya estrogen ktk mwili kuongezeka kwa mwanamke, ni estrogen inayomfanya mtu ajisikie ku do na mpenzi wake, na ni testosterone ambayo inamfanya mwanamke apende ku do. Ni estrogen ambayo inachangia kumfanya mwanamke awe mpole, awe na hali ya ulaini na awe anapendelea kushikwashikwa au kupapaswa na mpenziwe.
Mwanaume:
Mwili wa mwanaume pia huzalisha estrogen na pia testosterone inaweza kubadilishwa na kuwa estrogen ktk mwili wa mwanaume kiasi fulani cha estrogen hutumika kumfanya mwanume awe mpole na kuwa na hali ya ulaini. kadri mwanaume anavyoongezeka umri kiasi cha testosterone hupua na estrogen kuongezeka na hii ndio husababisha wanaume kuwa wapole kwa wapenzi wao wakati wa uzeeni.
Mie nina utani sana...............mama Ngina nadhani kanipendea hiyo tabia...........Ha ha ha, unajua nini? naimagine mkeo kavuta midomo halafu mko katika faragha hata kukukumbatia hakukumbatii huku akijitahidi atleast kushake........ sipati picha..LOL
Mweh.....Mshaanza kutafuta vijisababu vya KISAYANSI, ili tukubali hiyo excuse..........................
Mie sikubali bana..................LOL
Nimeona umetoa maelezo mareeeeefu kuitetea hiyo namba 4................ hiyo inaonesha ni kiasi gani nyie wanawake mnaitumia kutushikisha adabu, kwa sababu mnajua hatuna ujanja pale tunapohemkwa tukitaka hiyo kitu.Hukubali kipi au yote hapo juu sawa?
Nimeona umetoa maelezo mareeeeefu kuitetea hiyo namba 4................ hiyo inaonesha ni kiasi gani nyie wanawake mnaitumia kutushikisha adabu, kwa sababu mnajua hatuna ujanja pale tunapohemkwa tukitaka hiyo kitu.
Hata hivyo nimekubaliana na maelezo yako ya kitaalamu.
Ahsante kwa ufafanuzi
Binafsi hiyo adhabu no.4 wanayotumia wanawake huwa ninanipeleka kutafuta small house, maana inanikera sana. Sijafanya hivyo sababu ya ubahiri wa kuhudumia hiyo small house. Otherwise, angekuwa akinipa hiyo adhabu yake, mi nakimbilia huko .... si mnajua hakuna vijisababu huko!
Hata mimi hiyo namba 4 inanitesa sana kwenye ndoa yangu.Hii namba 4 kwa kweli inatutesa wengi humu..................Nashukuru kwamba ujumbe umefika ingawa wanajitahidi kujitetea haoooo...........LOL