Wanaume na wanawake mnaotaka kuoa au kuolewa, pitieni haya mamabo 5 ili mjiandae kisaikolojia

Sasa kinachotokea Kwa mtoto huwa ni nini? Waweza kutusaidia somo hilo?
Very simple.

Kinachotokea kwa hao watoto wanaodhaniwa kuwa wamebemendwa ni upungufu ama ukosefu kabisa wa virutubisho muhimu anavyohitaji mtoto ili aweze kukua vizuri.

Mazingira na kukosekana kwa malezi bora kwa mtoto pia yaweza kuwa sababu.

Lakini si kubemenda na ndiyo maana hakuna a clear biological mechanism which explain how mtoto anabemendeka mara baada ya mama aliyejifungua kufanya mapenzi.

Imani hii imejikita mno maeneo ya uswahilini ambapo mostly ni maeneo occupied by people having low life standard.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom