Wanaume na vijitabia vyao

Wanaume wapo wengi Sana wa hivyooo
Mwanaume ni yule akitoka kutafuta hurudi kujiandaa kwa ajili ya kwenda kutafuta kesho tena..sasa hyo anaekuja kukaa na wewe jikoni hyo sio mwanaume bali ni mwenzako!
 
Mmh. Hivi wanaume wa kuhesabu vitoweo bado wapo kweli? Kama wapo nawapa pole aiseee.

Hao wabahili na wenye gubu huwa ni kumuomba tu M'mungu usikumbane nao sababu hawaepukiki na ukibahatika kuwapata wa hivyo ni wewe mwenyewe kujua namna ya kuishi nao tu sababu ni tabia ya mtu hiyo huwezi mbadilisha zaidi ya kuipunguza isizidi kipimo.
 
Ukiolewa na kimeo unakuwa unajitahidi kujifariji kwa kauli za eti wote wako hivi hivi.
 
hiyo ya nne ndio yangu,nikileta nyama naikatakata nahesabu finyango naweka kwenye vimfuko,kilo mbili zinaweza kukaa hata mwezi maana nyama nakata kama vijimiskaki viduchuviduchu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…