Sweety zai
Member
- Jan 10, 2018
- 7
- 10
UnasemaAll cats are grey at night !!.
Sijui umeyatoa wapi haya maneno ya kipuuzi hivi!Dada usione mwanaume kavaa suruali mkanda kachomekea nadhifu ana vichenji vikakuzuzua mchunguze kiundani kabla ya kuolewa nae .
Zijue Tabia zao zisizopendeza na kama zipo unazozijua ongezea hapa.
*wabahili hawa akishakuoa anachojua kukuhudumia chakula tu wengine wanafika mbali wanakuweka kama pambo hatahuduma hakupi
*Gubu.huyu akianza kusema haeshi siku nzima anasemaa tu akitoka ndio unapumzika.
*kuhesabu vitoweo.Mara nyingi huyu anakupangia mboga iwe siku tatu tatu hata wakija wageni utajijua mwenyewe.
*wachoyo.hapendi ndugu zako mwanamke wake au usaidie kwenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui umeyatoa wapi haya maneno ya kipuuzi hivi!
Tubadilike nini yeye ndiye ambadilishe mume wakeWanaume jaman badilikeni
Iv kuna mwanaume mwenye izo tabia? 100℅ ya hzo tabia zipo kwa wanawake na kama mumeo anazo basi hyo umepewa Wa kufanana nae!Wanaume jaman badilikeni
Wakati Wa giza macho ya mwanadamu huwa ni ngumu kutofautisha vitu. Yaaan vitu vyote ,rangi zote machoni kwake huonekana Sawa tu .Unasema
Sawa Bhana Endelen Kutusema Katika MitandaoWanaume jaman badilikeni
Oky Ushaur kaupataTubadilike nini yeye ndiye ambadilishe mume wake
Wanaume wapo wengi Sana wa hivyoooIv kuna mwanaume mwenye izo tabia? 100℅ ya hzo tabia zipo kwa wanawake na kama mumeo anazo basi hyo umepewa Wa kufanana nae!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sawa Bhana Endelen Kutusema Katika Mitandao
Lakin Usiku Kama Umeolewa Shart Ni Moja Tuuu Hakuna kulala Bila Nguo