Wanaume na tendo

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Posts
6,467
Reaction score
6,500
Nimesikia couple of times that men think about S.E.X every 8 seconds, is it seconds or minutes? And if so is it true?!
 
mhh! ngoja nanze kufuatilia kuanzia sasa....ntarudi kwa majibu yenye uhakika
 
Reactions: kui
Hamna lolote. Nakwambia kati ya watu waliochoka..I mean kazi yao haiwezi kuexist bila uongo...Journalism is all about headlines in order to make a living, kwahiyo watakuja na stori mingi za utunzi ili tu ununue wauzacho.
 
Reactions: kui
Nimesikia couple of times that men think about S.E.X every 8 seconds, is it seconds or minutes? And if so is it true?!

Mi nnavyojua ni after 48 hours.

Endelea kusikilizia hapo ulipokuwa unasikiliza labda wataelezea zaidi.
Excel.
 
Last edited by a moderator:
Hao wanatafuta kitu cha kuvuta hisia za watu ili wasikilizwe, kama ambavyo wameshakuvuta ww. Hakuna kitu kama hicho, kwamba katika dk 93 za mechi ya mpira mwanaume atakua amehamisha mawazo yake mara 11 na kuwaza s.e.x!!? Never in earth.
 
Nimesikia couple of times that men think about S.E.X every 8 seconds, is it seconds or minutes? And if so is it true?!

Ingekuwa kweli sidhani kama wanaume wangekuwa na muda wa kufanya shughuli nyingine!
 
8 sec, mints... Looh
Mkuu embu fikiria tena alaf u-repost ulichokua unahitaji kujua kwa wana JF
 
8 sec, mints... Looh
Mkuu embu fikiria tena alaf u-repost ulichokua unahitaji kujua kwa wana JF

Mkuu nilisikia hivo, si lazima kufikiria the whole game, ni vile let's say ukiona m'ke akakuvutia obviously hauta imagine unacheza nae soccer utafikiria zaidi mengine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…