Habari ya weekend wana Jf
Maandalizi ya tendo la ndoa ni hali ya kumuandaa mpenzi wako ili apate utayari /hisia Kwa ajili ya kushiriki tendo la ndoa.
Wanaume wengi wamekuwa Kero Sana hasa kwenye eneo La masikioni Jamanii!!!
Yani mwanaume badala akupapase sikio na ulimi Kwa ustarabu wanachofanya wanatemea na mate humo humo.
Yan mwanamke unaweza kuhisi masikio yataziba sio kwa kutemewa mateeee hayo
Hivi wanaume huwa mnatemea mate masikioni kwa sababu gani? Mnatufanya tuwe viziwi mnatuharibia ngoma masikio.
Mimi siwez kulamba sikio La mwanaume maana hamsafishagi full UCHUNGU ndani kama nyanya chungu.
Nyongeza: Wanaume wengine
Kujifanya wanajua mahaba
anakulamba mwili mzima
yani utapakwa mateeee mwili mzima haina hata haja ya kuoga maana mate yake ni maji tosha ubaki unapambana na harufu yako mateeee.
Povu nimeshazoea
Ndio mpaka mate aiseeeeee.....Hivi Mkuu swila ni nyoka au?
We mwenyewe mtunzi mzur tuu mbona, weka uzi mreeefu watu tupate burudani!Nitafutie mtunzi mzur nimpe story kiukweli
Mkuu.....Kuna wanaume pyeee
Alaf akitoka hapo anaenda kuwapa somo wenzie au anapeleka mrejesho
hizi mada zakoNimefanyaje
Mwanaume wa dar katika ubora wakoPole kwa kumpata mwanaume wa namna hiyo,,ila sisi wengine hatupo hivo..bila shaka huyo wa kwako ni mwanaume wa mikoani,,pole dada ila punguza wanaume maana yaonesha umegegedwa sna
Bae, ukiamka nitakuuliza then nikuje kuleta marejesho in da house....we unaonaje
Bae, ukiamka nitakuuliza then nikuje kuleta marejesho in da house....
Exactly sasa kuna wenzio wanatema masikioniMkuu.....
Minajua kazi ya mate ni kutema ili upake kama pamekauka sana....![]()
![]()
![]()