Wanaume na ndoa za dada zetu

Haahahahaaaa Kaunga unanipa raha sana aisee lol
Ujue kaka yako akiona unasema hivi atataka kiukweli then uzue balaa ooooh
 
Last edited by a moderator:
Wifi nikisoma hizi lugha zako na mie natamani ningemuoa mdogo wangu Eiyer. Kwetu wanawake hawaongei lugha za kijiweni, aah!

Ha ha ha, nisamehe basi wifi, nilikuwa nachangamsha Uzi tu! Halafu wewe mwenyewe unajifanya busy hata kunipa tip za kuwa kwenye familia yenu kwa uzuri! LOL
 

Nijuacho ni kuwa wakaka huwa wanaumia lakini pia huwa wana-heshimu sana ndoa za dada zao. Ninakumbuka mie wakati my-Ex alipokuwa ananimistreat (na mie najitia kuvumilia na kupretend kuwa everything is fine with a fake smile) It was my brother (young sibling ambaye nimemzidi more than 5 years) alokwenda kwa wazee wangu na kuwaomba waingilie kati kama hawataki kunipoteza! Siku waliponibana I cried a lot BUT Ninamshukuru hadi leo, he helped me to find my feet again.

I really appreciate and love you my Bro...... Uncle S...
 
Ha ha ha, nisamehe basi wifi, nilikuwa nachangamsha Uzi tu! Halafu wewe mwenyewe unajifanya busy hata kunipa tip za kuwa kwenye familia yenu kwa uzuri! LOL

Wifi usikonde, tatizo lako wewe unataka kwenda club na mumeo kila saa. Kesho uje nikufundishe kupika kikwetu basi, manake kaka anakutorokaga weekend anakuja kudoea chai.
 
errrrr, heb nipite hapa, ama! kaka na dada tena......
 
Uwe na moyo huo huo kwa mkeo na pia umsaidie dada yako ili asiwe tegemezi kwa huyo mumewe baradhuli.

Hapo ndio unajifunza jinsi watu walivyo tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…