Wanaume na minywele

Hahaaaaa wasionyoa wote wakiiona hii post utaona watakavotoa povu ukweli unauma
 
kui I'm baby-butt shaven babygirl. Silky smooth te he he he
 
Mi nakushauri mtoa mada ukienda kugegedana beba na toothpicks
 

Hizo za mbele, wengine wana za nyuma pia halafu wanavaa mlegezo, akiinama kiama!
 
Hahahahah lafu wanauliza mmeawaonea wapi teh teh uvaaji wao ndo wawaumbua hahahahah@tumboo umeona mipovu ilivo watokaeee
Hizo za mbele, wengine wana za nyuma pia halafu wanavaa mlegezo, akiinama kiama!
 
Reactions: kui
Aspirin hapana bwana, sasa kuna raha gani kuchubuka kwa kusuguliwa na manywele?
Wengine yanakuwa mengi mpaka you can visualize smoke coming out of it!
Umejuaje kama mivuzi inasugua wakati umetuambia hii habari umeambiwa na rafiki yako? Na umejuaje wengine yanakuwa mengi mpk unavishualaiz smoke? Talking of experience??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…