Nikiwa kama mchangiaji wa kwanza ambae jina langu ni E.T.C ngoja nisichangie kwanza.
Kuna mtu (mwanaume) aliwahi kuniambia aaahhh mie sikumbukia tena ukiongeza na wale wa hit and run hawahesabiki weka dar express kama mia hivi wanajaa na kubaki
Changia bana mbona mie ni ETC na nimechangia
Husninyo wacha hizo bana, Yaelekea una kiwivu thaaaaaaaaaaana wewe ndo maana hutaki kuchangia, ok
Wewe umechovya na wangapi?
- HUSNINYO
heheheheh swali uliouliza leo zuri,,,, wanaume ndio mahabith wakwanza duniani japo wanawake wasingiziwa,,, we utakuta mtu keshachovya sijui ndio niini vile yaani kukutana na mwanamke mara elfu then ataka yeye akioa akukute bikra jambo ambaloo ni uonevu wallah,,, mi naona wanaume ndio wanahangaika sana kabla ya kuingia kwenye ndoa,japo sina uhakika,,,ila huo ndio mtazamo wangu,,, mnisamehe wanaume wa humu jamani,,, kwani wanaume wa jf wao hawahangaiki heheheh msije mkanuna bure,,,
ha hahaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mieeee!!! Gbollin naona leo umeamua!!
mie sijabadili badili !! niyule yule aliyenitoa bikira akaniacha!!! :lol::lol::lol::lol::lol:
kuhusu sababu, wanaume ndio chanzo kikubwa cha kuvunja relations!!!
ngoja tuone wengine!!
Hahahahaha kwahiyo wataka kuniambia mpaka leo upo singo???? :A S kiss:
Mmmmmh Mbona unazungumzia boyz tu, hebu nambie na wewe vipi dozen wanafika?????
kwa heshima ya da dena, nimekua nae mmoja tu na huyo mmoja wangu alikuwa nae mmoja tu..