Wanaume muwe mnajiongeza basi

Tunajenga sema hatusemi. Tunajengea hadi michepuko inayostahili kujengewa. Kuna Mtu akikuomba hela yaani unaanza kulaani siku uliyokutana naye. Sema kiu nazo jamani, wanaume tunaokotaga mambo ya ajabu sana. Esp tukiwa tumetupia.
 
Una point nzuri lakin dada.. baadhi yetu wanaume tuna kazi nzito sana kiasi kwamba tunawekeza sana akili huko kwenye utafutaji zaidi. So sometimes kama mnaona tunajisahi tukumbusheni.. sisi sio malika kwamba tunajua mna shidah..

Tukumbushe tu vizuri tutatimiza..
 
Pole dada, uhudumiwe umekua mgonjwa? Kama mwanamke ni maua basi mwanaume ni nyuki
 
Tatizo hamueleweki, unaweza kumpa pesa mwanamke halafu na yeye akaenda kumhonga mwanaume mwingine
 
Kumjali mwanamke maana yake ni kumpatia hela? Wanawake wa uswahilini mixa kupitia maisha magumu utawajua tu...wako wapi watoto wa kishuaaa....???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…