Wanaume muwe mnajiongeza basi

Hata Mungu huwa hatoi baraka mpaka aombwe. Ombeni mtapewa.
 
Shida hata mpewe nn mtachepuka tu harafu angalia mabadiliko ya hali ya hewa hela ya kukutunzia ni kg 1 ya kitimoto au unga
 
umeolewa na huyo unaetaka akupe hela bila kumuomba au ni jamaa tu uko nae ?? kama umeolewa sawa !!
 
Nakazia tena kwa misumari mikubwa kabisa....waache ubahili...wanajua kuuliza "bby utakuja lini sasa" ila kwenye matunzo mpaka RB ihusike......wanaume mjiongeze msiiieeew mnakeraaaaa wengine hatujui kuomba ila kutunzwa tunapenda
 
Nikupe pesa kwani huna wazazi? Mimi ukiniomba pesa sikupi ila ukiomba mtaji nakupa.... kama usipo omba hela me nitajuaje kama Una shida ya hela...
 
Ili nikupe pesa yangu unabd tuwe tunaishi pamoja..! Huo ndo msimamo wangu..!
 
Nakazia tena kwa misumari mikubwa kabisa....waache ubahili...wanajua kuuliza "bby utakuja lini sasa" ila kwenye matunzo mpaka RB ihusike......wanaume mjiongeze msiiieeew mnakeraaaaa wengine hatujui kuomba ila kutunzwa tunapenda
Vizinga vimezidi jitahidini kupunguza hata kidogo maana kuacha hamuwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…