Wanaume muwe mnajiongeza basi

yaani wengine hata zawadi tu wanashindwa wakati wao wanapokea zawad toka kwa wanawake...mmh wabahili sijui wachoyo dooh hatar
 
if I had a baby mama she would probably be richer then a lot of you mean niggas
 
Ndio maana mnamegwa kisha mnaachwa. Mmeweka mbele pesa kama mnauza. Wote mbapata raha sasa wewe kwa nn usipambane upate hela ya matumizi au uwe omba omba. Hiyo ni starehe tu. Sio lazima uuze. Wanaojielewa huwa hawaombi pesa.
Ukicheat unaenda kuuza. Hivyo nimfanyabuashara maana umefuata pesa. Ridhikeni na mlivyonavyo maana ndio amekupendea hivyo. Sio kila silu hela hela hela hela. Acheni kuuza miili.
 
Sawa tumewasikia ila kuomba sio dhambi, ombeni nanyi mtapewa.
 
naamini wasichana wanaopenda kuomba hela asilimia kubwa ni wavivu wa kufanya kazi hata akili (kufikiri) na huwa hawawazi maendeleo hela unayompa kikubwa ni kula kuvaa na megine ya kipuuzi hata wazo la kuanzisha kitu hawezi huwa sipendi aina hii ya msichana na huwa nawaona hata kichwani ni watupu (nisamehe) ila ukikutana naee hata awe mzuri kiasi gani akiwa omba ombaa sanaa wewe ondoka kimyakimya sio kwa matarumbeta na ngoma maana hakuna maendeleo hapoo yeye anawaza upupuu tuu na ataharibu mipango yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…