Hiyo mimba naipokea kirahisi rahisi tuu mkuu??Waliowengi kama wewe ungukia pabovu, jamaa atakusotea hata mwaka lkn siku akikunasa na mchezo ukakolea anakupiga mimba na kupotea, akiwa analipiza kisasi cha jinsi ulivomsumbua na wakat huo asingependa kuwa na mpez mwenyeisimamo mikali
Hahahahaha haya njoo hapa niaje ...nakusubiriNgoma mpaka ndichi ! Hahaaaa [emoji23][emoji23]
Mwisho utasema nataka tena jamaani
Hahahahaha haya njoo hapa niaje ...nakusubiri
💃💃💃💃💃 hushindwii.Cute B
Nitakukula kweli ujue...
Jamaa kaharibu sana katusaliti live liveFala wewe acha kutoa siri za kambi ovyo
Si unakaa miazini..! Ngoja nije mikupe escort..[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] hushindwii.
Wanaume wa Arusha mnajua kutumia nguvu sana.
Ngoja niende zangu nyumbani.
Keiya o'lalasheVipi kipi kinaendelea hapa?
Dah,Kumbee.hapa nimepata majibu Fulani hiviUkitaka uweze kuwa na roho mbaya anza hivi..chukua chupi chana au iliyotoboka vaa.
Kivyovyote hata akikubembelezaje ukikumbuk chupi uliyovaa lazima ukatae tuu.
Una roho ngumu wewe dada......unaonyesha unaweza hata kuchinja ng'ombe peke yako kwa ujasiri wakoHuyo mwanamke hana msimamo.
Mimi nikisema sitoi ni sitoi.
Acha isimame hadi ivunjike.
Eeh Mianzini.Si unakaa miazini..! Ngoja nije mikupe escort..
Ndiyo hivyo kwenda tunaenda na mzigo hapati.Dah,Kumbee.hapa nimepata majibu Fulani hivi
asante sana,kumbe humu kuna elimu .Ila mkumbuke
kuna kupata ajali bila kukusudia ukapelekwa
hospitali ukapata aibu kubwa kwa daktari
Ni afadhali usiende kwa jamaa yako kama haupo
tayari kuliko kuja kupata aibu ya mwaka.
Mkuu mtoto mzuri kama Mimi roho mbaya natolea wapiii.Una roho ngumu wewe dada......unaonyesha unaweza hata kuchinja ng'ombe peke yako kwa ujasiri wako
Eeh Mianzini.
Ukitokea kwenye mataa kama unaenda tripple A sheli ya pili hapa hapa unazama ndichi kidogo unakuwa umenifikisha home!
Ila uwe makini nisikupore simu.
nimefurahi umefurahi,but kuwa na huruma sometimes,mambo kusaidianaMkuu mtoto mzuri kama Mimi roho mbaya natolea wapiii.
Eti naweza kuchinja ng'ombe mwenyew. Daah nimecheka sana.
Hahahaha mkuu huruma na msaada kwenye papuchi yangu aisee???nimefurahi umefurahi,but kuwa na huruma sometimes,mambo kusaidiana
Hujawahi pigwa kabali ya mbao wewe.Eeeh... mambo yenu ya Golden Rose nayajua sana..
Sasa mimi mhuni wa mianzi utaniweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hio siku amevaa chupi yake iliotatuka pembeni/ iliotoboka au ilio chakavu hata ulie machozi ya damu hauli mzigo
Usijali, Hawa hata uwachoree Picha, hawawezi kutuepuka.Fala wewe acha kutoa siri za kambi ovyo