Road Traffic Signal
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 621
- 1,963
Iga hii kutoka kwangu., ukishaanza hicho kinywaji punguza kuongea sana, punguza kuandika andika hovyo mitandaoni, ila kwa vile humu tumo anonymous we mwagika tu ila chunga effects za hicho kilevi huchelewi kudisclose identity yako, anyway leo unakunywa Bar gani hapa mjini nije nikupe Windhoek 15?Ivi jamani i magine una rafiki ako mmekutana kwenye mitandao tu ya kijamiii ukawa mnaongea vizuri yeye ni me ww ni ke ,then anaonyesha kama vile anakutaka na wewe upo single baadae mara anaongelea ma x wake sijui hawed kuwasahau.
Badilikeni wanaume mnatukata sanaaa.
Unakuta ushaanza kumuelewa lakini ndo hvyo
Imeniuma Sanaa aiseeee
PoleIvi jamani i magine una rafiki ako mmekutana kwenye mitandao tu ya kijamiii ukawa mnaongea vizuri yeye ni me ww ni ke ,then anaonyesha kama vile anakutaka na wewe upo single baadae mara anaongelea ma x wake sijui hawed kuwasahau.
Badilikeni wanaume mnatukata sanaaa.
Unakuta ushaanza kumuelewa lakini ndo hvyo
Imeniuma Sanaa aiseeee
njoo bebi tuyagange yajayo 😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ujumbe wake ni kwamba yupo single, jimbo linahitaji wazee wa kumwaga seraKwahiyo huyo mtu mmoja ndo anatosha kuanzisha gazeti Kwa wanaume wote??..
Akili fupi 😏Ujumbe wake ni kwamba yupo single, jimbo linahitaji wazee wa kumwaga sera
Sasa my ndo umekuja kunitangaza?Ivi jamani i magine una rafiki ako mmekutana kwenye mitandao tu ya kijamiii ukawa mnaongea vizuri yeye ni me ww ni ke ,then anaonyesha kama vile anakutaka na wewe upo single baadae mara anaongelea ma x wake sijui hawed kuwasahau.
Badilikeni wanaume mnatukata sanaaa.
Unakuta ushaanza kumuelewa lakini ndo hvyo
Imeniuma Sanaa aiseeee
Eeeeh ubadilikeSasa my ndo umekuja kunitangaza?
Niko tayari kubadilika my wangu, naomba msamaha tuendelee tulipoishiaEeeeh ubadilike
Inategemea, huenda wewe ndo ulimfanya awaongelee ma X.Ivi jamani i magine una rafiki ako mmekutana kwenye mitandao tu ya kijamiii ukawa mnaongea vizuri yeye ni me ww ni ke ,then anaonyesha kama vile anakutaka na wewe upo single baadae mara anaongelea ma x wake sijui hawed kuwasahau.
Badilikeni wanaume mnatukata sanaaa.
Unakuta ushaanza kumuelewa lakini ndo hvyo
Imeniuma Sanaa aiseeee
Fact lakini vipi hukumuulizaInategemea, huenda wewe ndo ulimfanya awaongelee ma X.
Mfano : unakutana na mwanamke unampenda alafu anaanza kukuulizia kuhusu wanawake wako wa zamani, what do you expect hapa
Siwezi kumuuliza mwanamke wangu mpya kuhusu her past relation, hiyo anajua mwenyewe na moyo wake.Fact lakini vipi hukumuuliza
Mpanulie na wewe ili asiache kukusahau namaanisha panuaUnakuta ushaanza kumuelewa lakini ndo hvyo
Imeniuma Sanaa aiseeee
Unaemwambia hivyo hajui anataka nini, kuna wanawake sipendi kua na mahusiano nao type za mtoa mada, katongozwa humu, atapigwa mimba humu na atazalia humu namaanisha humu JFAnawaza "je, mbususu yake itakuwa tamu zaidi yao?
Ili umfariji unatakiwa umwambie ma ex hawakuwa watamu, Ila wewe mtamu!
Ivi jamani i magine una rafiki ako mmekutana kwenye mitandao tu ya kijamiii ukawa mnaongea vizuri yeye ni me ww ni ke ,then anaonyesha kama vile anakutaka na wewe upo single baadae mara anaongelea ma x wake sijui hawed kuwasahau.
Badilikeni wanaume mnatukata sanaaa.
Unakuta ushaanza kumuelewa lakini ndo hvyo
Imeniuma Sanaa aiseeee
Akili fupiUnaemwambia hivyo hajui anataka nini, kuna wanawake sipendi kua na mahusiano nao type za mtoa mada, katongozwa humu, atapigwa mimba humu na atazalia humu namaanisha humu JF