Kindness_cu Member Joined Dec 29, 2022 Posts 96 Reaction score 151 May 5, 2023 #1 Hvi jamani imagine una rafiki ako mmekutana kwenye mitandao tu ya kijamiii ukawa mnaongea vizuri yeye ni me wewe ni mwanamke, then anaonyesha kama vile anakutaka na wewe upo single baadae mara anaongelea ma x wake sijui hawezi kuwasahau . Badilikeni wanaume mnatukata sana. Unakuta ushaanza kumuelewa lakini ndiyo hivyo Imeniuma sana aisee
Hvi jamani imagine una rafiki ako mmekutana kwenye mitandao tu ya kijamiii ukawa mnaongea vizuri yeye ni me wewe ni mwanamke, then anaonyesha kama vile anakutaka na wewe upo single baadae mara anaongelea ma x wake sijui hawezi kuwasahau . Badilikeni wanaume mnatukata sana. Unakuta ushaanza kumuelewa lakini ndiyo hivyo Imeniuma sana aisee
Mzimu wa Kolelo JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 2,950 Reaction score 8,919 May 5, 2023 #2 Dah ! Inauma sana Yaan hata sijaelewa Ila inauma sana
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 May 5, 2023 #3 Lala utaandika vizuri asubuhi
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,075 Reaction score 111,674 May 5, 2023 #4 Mpe kipendacho roho huyo atoendelea kuwazungumzia
Satan JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 2,065 Reaction score 3,331 May 5, 2023 #5 Mambo madogo sana haya. Ndoa utaiweza kweli?
Dr Count Capone JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,879 Reaction score 3,299 May 5, 2023 #6 Kutuambia sisi hujasolve chochote! Mwambie huyo jamaa ukweli hapo utakuwa umemsaidia na kujisaidia wewe mwenyewe
Kutuambia sisi hujasolve chochote! Mwambie huyo jamaa ukweli hapo utakuwa umemsaidia na kujisaidia wewe mwenyewe
Amos David Mathias JF-Expert Member Joined Sep 3, 2022 Posts 1,575 Reaction score 3,106 May 5, 2023 #7 Jamani Kindness_cu wangu msimuonee
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,774 Reaction score 54,845 May 5, 2023 #8 Jamaa kazingua hata mimi sitaki manzi wangu anipe stori za maex wake
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 43,954 Reaction score 104,174 May 5, 2023 #9 Maskini mweeee, mwenyewe ukaanza kunyegeka kabisa afu akakukata stimu
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,149 Reaction score 43,095 May 5, 2023 #10 Pole sana weka mipaka kwenye mazungumzo yako na mtu wa jinsia tofauti na wewe.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,212 Reaction score 96,068 May 5, 2023 #11 It's too much pain and it's hurts Ask yourself what you did or gained Since you came to earth Are you making it better or worse Or the nature is making a comeback And it is reclaiming it's stuff I mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 Panga mkononi 👉 Roho begani
It's too much pain and it's hurts Ask yourself what you did or gained Since you came to earth Are you making it better or worse Or the nature is making a comeback And it is reclaiming it's stuff I mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 Panga mkononi 👉 Roho begani
Sharamdala JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 3,559 Reaction score 6,557 May 5, 2023 #12 Mzimu wa Kolelo said: Dah ! Inauma sana Yaan hata sijaelewa Ila inauma sana Click to expand... Nimesoma mara 3 ila wapii🤣🤣
Mzimu wa Kolelo said: Dah ! Inauma sana Yaan hata sijaelewa Ila inauma sana Click to expand... Nimesoma mara 3 ila wapii🤣🤣
Kunguru wa Unguja JF-Expert Member Joined Aug 18, 2021 Posts 1,857 Reaction score 1,915 May 5, 2023 #13 Amos David Mathias said: Jamani Kindness_cu wangu msimuonee Click to expand... Hahahaa hakika wasimuonee
Amos David Mathias said: Jamani Kindness_cu wangu msimuonee Click to expand... Hahahaa hakika wasimuonee
Yohimbine JF-Expert Member Joined Jan 6, 2019 Posts 937 Reaction score 1,959 May 5, 2023 #14 Pole sana kuna kitu nimekutumia PM ni njia mojawapo ya kutatua tatizo hili
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,269 Reaction score 71,935 May 5, 2023 #15
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,171 Reaction score 6,201 May 5, 2023 #16 Upunguze UHAYA sasa sister
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,611 May 5, 2023 #17 Kwahiyo huyo mtu mmoja ndo anatosha kuanzisha gazeti Kwa wanaume wote??..
Kindness_cu Member Joined Dec 29, 2022 Posts 96 Reaction score 151 May 5, 2023 Thread starter #18 mshamba_hachekwi said: View attachment 2610394 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kindness_cu Member Joined Dec 29, 2022 Posts 96 Reaction score 151 May 5, 2023 Thread starter #19 Ila watu wa humu wanaweza kukuongezea stresss Walah 😒😒😭😭
southernboy JF-Expert Member Joined Sep 27, 2015 Posts 904 Reaction score 1,102 May 5, 2023 #20 pumzika kwanza