wanaume msitumie simu ku approach!

Approaching is an art,so be creative..no formula
 
Na kuna wengine hata husemi neno hata moja!! si la txt wala uso kwa uso! lakini ile kukutana tayari!! heehehee
 
Umri unakudanganya, ukikua utajua ukweli. Watu tunagegeda kwa PM itakuwa sms. Km unabisha niPM nisipokugegeda nabadili dini.

Kaka umenichekesha sana. Unatisha kama radi. Unamshauri mtoto wa watu atest sumu kwa kuionja?
 
aisee, ngoja nitafute mdada aipe namba ya simu nami nimtongoze....
 

hahaha ebu nawe tumia common sense...mwanaume anayekutongoza kupitia sms maana yake anakutaka kwa kukugegeda tuu....
 

Hakuna njia rahisi ya kutongoza kama kwa ku chat!!
 
Umri unakudanganya, ukikua utajua ukweli. Watu tunagegeda kwa PM itakuwa sms. Km unabisha niPM nisipokugegeda nabadili dini.

Join Date : 8th March 2008
Location : Psychiatric Ward

Posts : 28,616

Rep Power : 2048558

Likes Received
17572

Likes Given
24155



We forgive you babu!!!
 
Ujumbe umefika na waoga wameshakuelewa.
Nalog off
 
sasa kama anakigugumizi si bora tu atume sms??!!
 
Mzungu ,mchina,mjapani wakiamka wanajiopapasa kichwa kutafakari nini cha kuvumbua,mwarabu ,wahindi,wamanga,wakiamka wanajipapasa tumbo kujadili nini atakula ,lakini mwafrika hasa mbongo anajipapasa mgegedo au mpunyenye na korodani zake,papuchi na vikorombwezo vyake akitafakari atampata nani ampe tombo hii ni balaa
 
mke mzuri na wa upendo anatoka kwa mungu , makutano yenu mkiwasimulia watu yanaweza yakawa ni kichekesho kwani lilopangwa na mungu binadamu hawezi kulitengua. lakini kama ni kugegedana, gf&bf, humo tena ni shetani nafikiri ndiyo hapo unapomaanisha
 
mh hamna lolote,midomo zegest hiyo!!

hahaha sasa unajua udomo zege nao unachangiwa na nyie warembo....bila upenez basi mwanaume sii lolote. na ukweli bidada ni kwamba wanaume tusipokuwa na shilingi confidence sifuri lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…