Pole usiku huu ni majanga gani yamekusibu? Huyo aliyekuapproach kwa sms alikuwa na UH++ tuHabar wana jf, jamani men msiwe na mazoea ya ku approach ladies kwa njia ya sms. ni siri nawapa mtakosa wake wema kwa uzembe wenu. Wanawake tunapenda vijana wanaojiamini, ukituma sms ina maana hujiamini so mim nakukataa hata kama vp... kama una nia kweli na unataka huyo mwanamke awe wako wa maisha kwa nn usimfate uso kwa uso? nawasilisha.
Habar wana jf, jamani men msiwe na mazoea ya ku approach ladies kwa njia ya sms. ni siri nawapa mtakosa wake wema kwa uzembe wenu. Wanawake tunapenda vijana wanaojiamini, ukituma sms ina maana hujiamini so mim nakukataa hata kama vp... kama una nia kweli na unataka huyo mwanamke awe wako wa maisha kwa nn usimfate uso kwa uso? nawasilisha.
Umri unakudanganya, ukikua utajua ukweli. Watu tunagegeda kwa PM itakuwa sms. Km unabisha niPM nisipokugegeda nabadili dini.
Nilitaka kushangaa nikukose huku We Bazazi Mkubwa kumbe wewe ndo unatuharibia dadazetu humu ze JF???Umri unakudanganya, ukikua utajua ukweli. Watu tunagegeda kwa PM itakuwa sms. Km unabisha niPM nisipokugegeda nabadili dini.
Mmhh!! we unaona SMS hazifai, hapa MMU kuna watu wanatokea kwa kutumia avatar tu!!