Ambaye kakusumbua mda mrefu wakati unamtongoza. Jua hakuna mapenzi hapo Bali kuna kitu kafuata au alikua ana mtu au anakulinganisha na watongozaJi wengine, kama kakuzungusha sana siku akijubali .mle alafu tupa kule
duh haya tukikubali haraka haraka ooh maharage ya mbeya ,.. tukizungusha ooh kula tupa kule haya bana nyie mna nyoka sisi tuna shimo.. lazima utakuja kulala tu shimoni