Wanaume mpunguze ubahili sasa jamani hata Wazazi wenu pia mwawabahilia??

Wanawake Hamueleweki Mnataka Nini. Wewe Ukija Na Shida Ya Laki 2 Nkakuahidi Ijumaa Alafu Mama Akahitaji Iyo Ela Nkampa Kesho Ukija Ijumaa Sina Ela Na Nkakuambia Sababu Hapo Ni Kupewa Suspension Without Further Notice Au Uhusiano Kufia Hapohapo. Na Mnavopenda Ela Sasa. Unaenfa Kujichagulia Jamaa Linalokufukuzia Siku Nyingi Unalipa. Jamaa Anashangaa Mbona Mazoea Yanaongezeka Kumbe Kisa Ni Mimi Kumtumia Maza Hela Tu. Dadeki. Na Kwa Namna Iyo Tutaachana Sana. Mama Kwanza!!
 
Nimefurahi umeanza kwa kusema "baadhi yenu". Baadhi yetu inabidi tusawazishe habari kwa kuonyesha kwamba tunafanya wajibu wetu.

Sipendi kujigamba, lakini nikiona kama kuna tuhuma dhidi ya uanaume wangu kujitetea ni wajibu.

Mimi nam spoil Bi. Zuhra mke wangu (nimenunulia BMW SUV la nguvu hivi karibuni na ana kadi yangu yenye hela kibwena na anaweza kuzitumia anavyotaka mwenyewe).

Na nawa spoil wazazi wangu - ambao tangu awali hawahitaji msaada wangu sana- (nampatia Mzee wangu hela kuendeleza miradi yake kiasi anaona haya kutaja habari za hela kwa miezi sita baada ya kumpatia). Ninavyomuheshimu Mzee huyu kuna ndugu wengine hata siwajui wanakuja kumlilia, akinipatia habari sina hata maswali mengi, kwa sababu wamepita litmus test ya mzee wangu, hivi vi mizinga vya $ 200 - 500 nawacheki.Hela za kununua viatu tu hizo.

Nawa spoil wadogo zangu na vijana wadogo wa nyumbani (jana madogo wote wamepigwa Air Jordans wanazotaka wenyewe na mapochopocho mengine wajisikie wapo duniani na kuna wakubw wanawajali). Leo Bi. Zahra anawapeleka water park waende kupunguza joto na uchovu wa kukaa nyumbani.

Hapo hata sijataja habari za Dada zangu.

Kwa hiyo tafadhali, chonde chonde.

Kamaulivyosema awali.

Habariyako inaishia hukohukokwa baadhi hao, upande huu mwiko.

Tunawapenda wake zetu, wazazi, familia, watoto, tunahudumia vilivyo.
Mbona uandishi wako hautofautiani na Lara 1?
 
Back
Top Bottom