Huyo ni sheheeetani juu ya masheeeetani mbele ya masheetani.
😂😂😂😂Tangazo lako tumelipokea.
Tumelisikia, tumelielewa, tutlifanyia kazi baada ya huu msimu wa sikukuu kuisha.
Mkuu, umechukua nafasi yako?POLE SANA KWA KUMPENDA SHETANI, MAY BE MTAFUTE MALAIKA ATAKUFAA
SIKU ZOTE DUNIA HAIKO FAIR...MKIAMBIWAGA MSIPENDE MAZIMA MAZIMA NYIE MNAKUWA WABISHI
Wewe wakati akikupata alikuta ulikuwa na wangapi kabla yake? Na kwenye hati ya makububaliano mliwekeana kipengele cha kuchunguza mawakala zenu wa mapenzi mikoani?
Njoo kwangu sifikirii kuwa na mchepuko, sijawahi kuwa na mchepuko sina haja ya kuwa na mchepuko! Utakuwa wewe tu kuongeza mwengine labda mungu apende! Maana mimi ni nani hadi nikatae agizo la bwana..? Akiniletea mwengine nikakataa nitakosa thawabu!,Mimi si mkaidi kama farao!! Bwana na atende..Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
basi endelea kuumizwa
Pole sana mamii, check afya yako, jipange utapambanaje mwakaniYaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangazo lako tumelipokea.
Tumelisikia, tumelielewa, tutalifanyia kazi baada ya huu msimu wa sikukuu kuisha.
Asa unaumia nini na akati umeamua mwenyewe kuacha
Wewe wakati akikupata alikuta ulikuwa na wangapi kabla yake? Na kwenye hati ya makububaliano mliwekeana kipengele cha kuchunguza mawakala zenu wa mapenzi mikoani?
Pole sana mamii, check afya yako, jipange utapambanaje mwakani
Mwishoni mwa mwezi January nitafute nina suluhisho lako.
Mtu hupewa kile anachostahili na wala siyo kile anachokitaka...ukiona umepata lonya lonya lako basi ujue ndiye saizi yako! Na mostly mabint decent ndiyo mnaongoza kwa kufanywa option C ilihali wale toka kwa bwana wangalipo tu somewhere around the world!
🤣 🤣 🤣 🤣aiseeTunatafuta Tigo!
Hiyo ni habari njema, shit happens, don't waste your time with that toyfriend.