Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

Weka picha ya sehem zako za siri tuone kama na ww huwa unanyoa, toa mfanoooooo.
 
Mimi huwa nafugia rasta.msitu mneno ndo una rutuba
 

Samahan ni kwel backing soda inaweza kung'arisha meno?

Mimi nipo arusha siunajua watu wa arusha meno yao jinsi yalivyo

Asante!
 
Haha, ulitaka uwe kondoo wa Sufi nini mkuu?
 
So sad dizain ya wanaume unaokutana nao wako hivo.
wanaume ninaokutana nao kwa kiwango cha usafi sio wa nchi hiii, kigezo no 1 kwangu mwanaume lazima awe msafi tena sio huu usafi wa ajabu ajabu, in short i do meet classic men, na akikosa uwa namaliza hata two yrs alone na nikimpata ni mwanaume kweli.

my dia najiamini najua utakataa kwa kuwa tunatumia vi id fake mtoto wa kike najitambua, niliandika kwa niaba ya wengine, lakini pia niliandika niwakumbushe usafi nisije kutana na mtu mchafu mchafu coz huwezi jua.

nisamehe kwa kukutolea povu, ni kwa kuwa umenikuna sehemu zangu nimeshindwa kuvumilia.
 
Samahan ni kwel backing soda inaweza kung'arisha meno?

Mimi nipo arusha siunajua watu wa arusha meno yao jinsi yalivyo

Asante!
chukua backing soda, pima kijiko kilichojaa kabisa, kata kipande cha limao kamulia, nchanganyiko huo kama uji mzito, sugua memo kila siku hata week mbili , kwanza fanya hivyo
 
hakuna haja ya picha ila kwa kukuojesha tu, sijawahi kuruhusu kwapa langu liwe na nywele, sijawahi narudia tena chini kule kuko smart more than the word smart it self.hapo upo?
 
Msama umekubalika.Hongera kwa chaguzi murua ila kuna umri ukifika kama hujaolewa utasahau hivo vigezo...
 
Wewe huo mtaro hauna kiporo cha mbegu za wanaume saba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…