Wanaume mnasemaga hamchagui kazi

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,836
Wanaume huwa mnasema kazi hamchagui, lakini mbona baadhi ya kazi kwa u-secretary au nursing sometimes hata house maid huwa mnawaachia wanawake tu?
 
Mkuu seriously hujawahi kuona nurse was kiume au 'house maid' mwanaume? Kweli kabisa?
 
Secretary wakiume.....Bosi jimama Single ----------------- Hapo Sawa !!!
 
We endelea ila hatuhalalishi kile unataka kufanya kama mwanaume mwenzetu

Hatuolewi tunaoa. We endelea
 
Back
Top Bottom