Wanaume mnaopenda kupita kiasi

Wanaume mnaopenda kupita kiasi

Dharau zinatofautiana grade mkuu labda bado haijafikia kipimo chake
 
unatakiwa upende kiasi... na sio kupita kiasi....shida huanzia hapa.
 
Ni ufala uliopitiliza kiwango.

Hawa wa hivyo, akimkuta na mtu mwingine ndiyo huishia kujiua.

Hawakumbuki hata kauli za Mungu za kupenda kiasi na kuishi nao kwa akili.

Nakuhakikishia kuwa
"Ukimpenda saana mtu kwa upendo wa dhati, akili yako haiwezi kufanya kazi kwa 100% juu yake. Bali utafanya kila jambo ili tu alifurahie hata kama ni baya".
Hivi huwa mnamatatizo gani unakuta mwanamke analeta dharau na kukuaibisha lakini utasikia nampenda sana siwezi kumuacha.huo NI udhaifu.
 
Hawa viumbe sio wa kutetemekea. Eleweni hivyo tu...
 
Mm ninaye rafiki wa kiume jamaa anapenda balaa, huwa nashangaa kuna wanaume wanafall hivi
 
Back
Top Bottom