Wanaume mnakazi kubwa sana

Wanaume mnakazi kubwa sana

cha muhimu si papuchi ipoo....vingine mbwembwe
Unakuta mnalala na majambazi wachawi walevi wachafu unakuta demu ananuka mdomo vikwapa na sehemu nyingine.
Utazani haogi.
Utakuta mwanaume anamwanamke mwenyw roho mbaya kama nini hataki kuwasaidia ndugu wa mume na wala hata wakwe zake.
Kamtu kana roho mbaya kananyanyasa watoto aliowakuta.
Unakuta mnalala na matapeli na malaya sijui huwa nyie wanaume tuwaweke group gani.
Mnashangaza halafu unakuta wale wema wazuri waelewa hamuawataki na kama mpo single au mnajutia ndoa mlizo nazo mnamlaumugi nani kwani hamkuwa mnamaamuzi kabla ya kuoa??
Dili na hali zenu sasa.
Wengine mmezaa na hao matapeli na majambazi ma wachawi.
HAPPY WEEKEND .
 
Yaani wewe acha tu
Eti unakuta kuna lijitu na lenyewe linalala na wewe kitanda kimoja
Kweli huo ni ushujaa
 
Hata sisi wanaume tupo Majambazi, Walevi, Wachawi na wachafu

Na bado tuna wanawake wetu
Hiyo haitishi kama mwanamke mwanaume hata mwizi sawa tu yaani nyie nikawaida yenu maana mnatafutia kitu familia ila mwanamke woi ni mbaya .
 
Ila wanaume wana moyo mkubwa na mgumu.

Unakuta alioa kasichana karembo kembamba yaani portable ile balaa , anaweza kabeba , kakumbatia etc.


Ghafla bin vuuu mwanamke ameumka utadhani mikate ya kichaga hadi kanga hazitoshi lakini mwanaume utakuta bado anamoenda kwa dhati kabisa..
😂😂😂😂😂 anafurahia ndoa
 
Ila wanaume wana moyo mkubwa na mgumu.

Unakuta alioa kasichana karembo kembamba yaani portable ile balaa , anaweza kabeba , kakumbatia etc.


Ghafla bin vuuu mwanamke ameumka utadhani mikate ya kichaga hadi kanga hazitoshi lakini mwanaume utakuta bado anamoenda kwa dhati kabisa..
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom