Wanaume mnajiamini sana aisee

Dodoma kuzuri bhana, wageni mnakaribishwa kwa ajili ya kusoma. Kuna UDOM, Mipango, St John, CBE, Madini, uhasibu, ifm, Decca, hombolo e.t.c.
 
Hahahah Nilikua sijaiona hii daa
Kumbe Busu la Kenge ni Maghayo katika Massiqurade I'd nguruwe ya Kigerasi hii
Shabhash sasa anazidi jichimbia ndani zaidi anajificha lakini wapi kama nyeti za mbusi mkia juu nyeti nje haa
Poor Brain umeana utani na kejeli za Ayatollah
adriz?
Kwa Mgerasi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Nakubaliana na wewe kwa upande mmoja, ila sio wanaume wote wako hivyo. Kuna wanaume wastaarabu sana hawana hizo mambo, na kuna ambao wanafanya hivyo ila unakuta kwenye ndoa yake anaishi ili siku ziende tu, mambo yashaharibika kitambo, so siku anapata fursa ya kutoka nje ya kwake ndo anaona wacha ajiliwaze, ni kama katoka jela. Lakini kuna kundi la tatu labda niseme ndo hao unaowasema, yaani wao ni fagia fagia. Hawawezi kulala lodge bila mwanamke. Pia jamii ni kama vile imehalalisha hiyo hali. Katika pita pita zangu za safari za kiofisi ambazo zimenihitaji kulala siku kadhaa au wiki nimekuwa najifunza na kujionea hayo unayosema. Mara nyingi inapotokea nimelala lodge wiki moja na hiyo wiki nzima sijaingiza mwanamke basi wahudumu wa lodge wenyewe huanza kujileta. Na nikikaza ukauzu wangu basi wengine hadi siku naondoka basi kuna ambao hawana uvumilivu wananichana live. Nilichojifunza pia wanawake tamaa ya pesa labda na ugumu wa maisha unachochea. Unakuta mwanaume nimechill zangu sina hili wala lile mara mhudumu anakuja anajipitisha pitisha hovyo, mara analeta utani wa hovyo kwa akili ya kawaida unaona kabisa hapa huyu anataka kusuuza rungu langu. Anyway, ndo dunia hii, watu wameshajitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…