Wanaume mnachotaka nini hasa?

 
Kupendwa, kuheshimiwa,kuthaminiwa ndicho tunacho taka
kikipungua kimoja kinakuzalishia machozi lita 20 wew mwanamke.
mwanamke fanya hayo uone kama kuna mwanaume baunsa kwa mwanamke hapa duniani
 
Imekaajee mwanaume ana Mke usiku kuchaa analala na mke wake ana amka naye Ila usiku anamtumia text mchepuko Wa wafanye Phone Sex. Huwa mnataka nini hasa
Shida yenu mnafikiri ukimpa kila siku atakinai; hiyo siyo ndizi nyama!
 
Sasa kama unashindwa kumpa mchezo, unatarajia nini?
Au unadhani alikuleta kuja kuonana tu.
Tumikeni hadi vitakapopatwa na Expire date.
Upo kwake ili ule vyote, Nguvu ya Pesa yake na Nguvu ya mwili wake.
Ukibana tu, unakuwa umefungulia kwa mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…