Wanaume mliooa wadada waliowaomba pesa, kabla ya ninyi kupewa papa, ndoa zenu bado zipo imara?

Embu fikiria mtu kila akipiga simu ni kibom.. mmoja hatukuzungumza kama miezi mitatu , out of no where, no salam, no kujuliana hali, anapiga sim break ta kwanza anataka 20000?
Nilikuwa na pesa.. lakin ilibid nimchane halaf tusi lenye kilo zake likafuata. Hajanisumbua tena mpaka leo.
Yaani sometimes hadi unajiuliza kama unadate watu wawili tofauti


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom