miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Toba.....Hebu ufunge halafu nipigie basi.... Sio vizuri hivyo ujue
Ndio... hauwezi kupokea pesa bure

Huu ni mwanya mkuu....

Kumbe na namba ulitupa eeehh... Piga bwanaToba.....![]()
![]()
![]()
Mbuzi kafia kwa muuza supu...![]()
![]()
Ngoja nikupigie
Tatizo tukisevu baadae tunachanganya hujui ulisevu kwa jina gani.

Naomba namba yako mbitijaman nimecheka sana jaman ! mie sipend kuombwa namba public! jaman unakuwa unajistukia tu !hebu wanaume halisi tengezeni business card jaman ! na sie tutengenezege mwee ! cc demi ,Neybright ,Heaven Sent ,espy ,Nalendwa ,Doris Gabriel ,babydoll

Yaani ungekuwa karibu ningekununulia balimi moja.Seduce me basi...?

Naomba namba yako mbiti![]()
![]()
Mbona usinitafute kama kweli ulinimiss?hahahaa !nilikumis ulipotelea wap[i? mwanamatengenezo mwenzangu ! we takupa aisee!
ukinipa tu nakuanza na mtongozo wa nguvu
HahahahahahaYaani ungekuwa karibu ningekununulia balimi moja.
Umenifurahisha,wimbo wa taifa.![]()
![]()
![]()
Bado ninayo, ingawa ulinimimina kama uji..... kwakweli namimi ni mvumilivu sana hun.....Kumbe na namba ulitupa eeehh... Piga bwana
