ukuwi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 883
- 1,491
Wewe unayetaka picha unataka kugundua nn,nenda sokoni kaulizie bamia utaona hapo hapo gengeni..Weka picha
Wewe unayetaka picha unataka kugundua nn,nenda sokoni kaulizie bamia utaona hapo hapo gengeni..Weka picha
Usicheke mkuu,yani hapa nilipo Nina kilema cha kibamia na bado hawajaridhika wanakazi ya kutudhihaki na vibamia vyetu siyo kwamba tume penda,ni kaugonjwa kama ugonjwa mwengineNimecheka sana sana Mkuu....
Cc:
kapeace evelyne salt cojojo
[URL='https://www.jamiiforums.com/members/inna.409451/']Inna[/URL]
Usicheke mkuu,yani hapa nilipo Nina kilema cha kibamia na bado hawajaridhika wanakazi ya kutudhihaki na vibamia vyetu siyo kwamba tume penda,ni kaugonjwa kama ugonjwa mwengine
Kwahyo mmeona bora muweke na picha kabisa
Kuna Dada mmoja hapa ananinong'oneza eti anataka aanze kuchart na wewe Pm ukimtongoza akukubalie...kwa kuwa ni Mzuri eti ukiwa Umevua tuu aanze kucheka na kuondoka,Au kabla hujavua akushike shike aingize mkono ndani ya boxer kukiona halafu aseme anajisikia vibaya...Mnanisemaaaa ila poa najipa moyo nitampata wa kuugulia kibamia changu japo kwa kwa wizi
Mwambie atapata zambi kumcheka mtu mwenye kibamia ni sawa na kumcheka kilema,mwambie asije nitakufa kwa presha mwenzake maana hapa ndiyo mahala pa mm kupunguza stress,akifanya hvyo mm nitakimbilia wap?Kuna Dada mmoja hapa ananinong'oneza eti anataka aanze kuchart na wewe Pm ukimtongoza akukubalie...kwa kuwa ni Mzuri eti ukiwa Umevua tuu aanze kucheka na kuondoka,Au kabla hujavua akushike shike aingize mkono ndani ya boxer kukiona halafu aseme anajisikia vibaya...
halafu kesho akutumie sms kuwa una kibamia akikohoa kitatoa
atakuja pm kwako Mkuu nimemwambia aache asikufanyie hivyo kagoma eti mpaka akukomeshe...
ukuwi