Wanaume mfanye mkeo kama Malaya

We binti una mambo kwanza umeolewa ?
 
Mwanamke wewe mridhishe mkojoleshe hata mara saba kwenye usiku mmoja.. atamtafuta mtu ambaye hamkojoleshi tu aone atajisikiaje!!! Daah hivi viumbe ni special sana.. viacheni viamue vyenyewe tu
 
Haya Madude hayanaga shukrani hata ufanyaje.
shika adabu yako mama yako, bibi yako shangazi zako, walio kubeba miezi sita wakakulea, wakakunya kama kimba!! wakakulisha mate yao kwa kukutafunia chakula ukameza mbwa weye nyau kasoro akili leo unawaita ''eti haya madude?? ... ma nini? hayo?

wewe ndo maaana huna hela na utakufa ivoivo kuna dhambi nyingine hazisameheki!!....utashangaa jitu ni teja miaka yote kuumbe laana zinaanziaga hapa!!! ...wewe unadhani huna kasoro!! kwa nini usijirekebishe weye!! laaana i juu yako tu hata ufanyeje!! ....

Tena itakuandama tu... lazima ujifunze kuwaheshimuni wanawake!!! km wanavo heshimiwa huko mbele kwa wenye akili!!! fikiria tu! huyo unae mdaharau ana zaaa Rais!!! Waziri...wafanya biashara wakubwaa!!! Madaktari!! wanao kutibu wajeda!! polisi Mweee!!
Mwanamke wewe mridhishe mkojoleshe hata mara saba kwenye usiku mmoja.. atamtafuta mtu ambaye hamkojoleshi tu aone atajisikiaje!!! Daah hivi viumbe ni special sana.. viacheni viamue vyenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…