Wanaume mda mwingine tunajisaliti wenyewe

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,792
Dhumuni kubwa la mahusiano kati ya mwanamke na mwanaume ni kugegedana hayo mengine ni mbwembwe tu. Sasa kama mwanume ukishindwa kumridhisha mke/mpenzi wako kwa sababu za kizembe tu hapo utakuwa umejisaliti. Hasa unakuta mwanaume umeajiachia unakuwa bonge bonge hufanyi mazoezi kutwa kuzunguka tu na Vits, sasa mke akija kutana na wale waendesha guta lazima uimbe haleluya
Wanaume tujitahidi kwa hilo jukumu, vinginevyo...............
 
IN
inabidi uwe na kitambi, sixpack na fedha kwa wakati mmoja
 

Waaaambieeeee...watamegewa sanaaa
 
Hivi hawa wanawake wanoongelewa humu ndo hawahawa wa mitaani...
Kama ndo hawa, ndugu yangu fanya kazi ili upate pesa za kuwawezesha wanao kama na wenyewe hutobambikiwa (kitanda hakizai haramu lakini)...

Huku kwa wenye hali ya chini watu wanachapiwa, ushuani wanachapiwa..Brother ni trend hiyo na huwezi kujinasua unless huyo mwanamke aamue kutulia kwa akili zake mwenyewe na si kwa nguvu zako kama unavyodhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume ni yule anayesimia msimamo yake na family yake ilimradi tu asimkwaze mwingine.

Hayo mengine ni extra effort ili tusichapiwe na pia tusiwaudhi wake zetu. Ila isiwe sheria kwetu. Ila tutambue ke akiamua anaweza kufanya lolote. Kuvumilia au kinyume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exzactly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kitu cha bure mkuu. Vitz tumenunua kwa hela nyingi sana (Japo inewezekana kwako ndogo)
 
Vijana mnakwama wapi?? Kijana tafuta pesa huwez kuwa na performance nzur kma unamawazo kichwani,, huna pesa kichwan unawaza maisha we unadhan utaperform?? Smh [emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…