Wanaume mabonge kulikoni?

yaani sijui kwanini mambo yanakuwa vice versa, wanaume wanene wanapenda wanawake wembamba na wanawake wanene wanapenda wanume wembamba
 
zamani palikua na wimbo 'kuku ni kuku hata ukimpa mtama nyumbani,tabia yake kwenda kuparapara porini'..enzi zile sikujua walimaanisha nini
 
Hasa akiwa kuku wa kienyeji ...... urmi ila jioni anarejea mwenyewe bandani bila kumtafuta tena kabla jua halijazama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…