Huwa una majibu na maswali ya kichokozi 😀😀Mwili wako ulivyoongezeka umepatwa na mapungufu yapi?
Huwa una majibu na maswali ya kichokozi 😀😀
Mimi sina mpenzi.Ww toka kumekucha leo umewasiliana na mpenzi wako mara ngap?kama mtu toka asbh hamna simu wala msg ujue hata kama sio kibonge lazima watu watamzidi kete.
Mimi sina mpenzi.
Zimekata kabisa😀Huna hisia za mapenzi kbs?
Nimebashiri jamaa yako ni huyu hapa pichani. hahahahaNgoja nimuonyeshe huu Uzi Jamaa yangu hapa karibu akinipa jibu nitarudi
Nadhani unamuhusu sana
Unasema kweli?Mimi sina mpenzi.
Zimekata kabisa😀
Muulize bibi yako mkuu huenda wakat mdogo walikutupa kwa ngariba.Zimekata kabisa😀