Vipo vingi;
Na kila mtu ana vigezo vyake, hata maskini pia ana haki ya kupenda na kupendwa. Kuna ambao Pesa ndo kipaumbele chao, kuna ambao wanaangalia tabia, familia(ukoo/kabila), elimu, umbo/six pack au uzuri wa sura
Msingi hasa wa mapenzi ni:
1. Uvumilivu
2. Hekima
3. Busara
4. Upendo
5. Uwazi
6. Heshima