kritika JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 410 Reaction score 1,158 May 22, 2018 #1 Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother?
Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother?
STRAGGLE MAN JF-Expert Member Joined Jan 10, 2018 Posts 698 Reaction score 614 May 22, 2018 #2 Dawa ya sumu ni sumu
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,944 Reaction score 43,358 May 22, 2018 #3 STRAGGLE MAN said: Dawa ya sumu ni sumu Click to expand... Hahahahaahaaaaaaaaa
Dannis JF-Expert Member Joined Jan 21, 2016 Posts 1,603 Reaction score 1,749 May 22, 2018 #4 New sesason ya Mwendokasi, ngoja nione mwisho wake. [HASHTAG]#MamaNancy[/HASHTAG]
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 15,821 Reaction score 40,331 May 22, 2018 #5 Ila una tupaja tutamu
emanuel prim JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 508 Reaction score 477 May 22, 2018 #6 kritika said: Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother? Click to expand... Kutafuta mwingine nako ni kazi
kritika said: Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother? Click to expand... Kutafuta mwingine nako ni kazi
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,675 May 22, 2018 #7 kritika said: Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother? Click to expand... Umeongea ukweli....ukiwa huna kitu mwanamke lazima akuache....maana hiyo ndio hulka ya mwanamke
kritika said: Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother? Click to expand... Umeongea ukweli....ukiwa huna kitu mwanamke lazima akuache....maana hiyo ndio hulka ya mwanamke
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,223 Reaction score 16,900 May 22, 2018 #8 nasubiri season ijayo ya "wanaume" sijui itasemaje
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,765 Reaction score 39,525 May 22, 2018 #9 Kwa sababu sio wanawake wote ni malaya wanaothaminisha maungo yao na vipande vya fedha.......ngoja akajaribu bahati yake sehemu nyingine
Kwa sababu sio wanawake wote ni malaya wanaothaminisha maungo yao na vipande vya fedha.......ngoja akajaribu bahati yake sehemu nyingine
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 22, 2018 #10 Aiseee
Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,106 Reaction score 28,052 May 22, 2018 #11 kritika said: Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother? Click to expand... Anaendelea kucheza karata huenda akapata wakuendana naye
kritika said: Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother? Click to expand... Anaendelea kucheza karata huenda akapata wakuendana naye
K Kalesya JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 691 Reaction score 728 May 22, 2018 #12 kritika said: Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother? Click to expand... Kwasababu siyo wanawake wote wanajiuza kama wewe..
kritika said: Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother? Click to expand... Kwasababu siyo wanawake wote wanajiuza kama wewe..
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,944 Reaction score 43,358 May 22, 2018 #13 Sakayo said: Aiseee Click to expand... Toa maoni yako/mtazamo wako
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 May 22, 2018 #14 Sawa tumekusoma
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,512 Reaction score 94,652 May 22, 2018 #15 superbug said: Ila una tupaja tutamu Click to expand... Tukwapi?
Chinsali JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 1,012 Reaction score 1,581 May 22, 2018 #16 Mwanamke akikukataa tafuta mkali zaidi yke ndo dawa yao.
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 22, 2018 #17 mbalizi1 said: Toa maoni yako/mtazamo wako Click to expand... Huwa kuna muda akili haitaki kuwaza chochote kabisaaa
mbalizi1 said: Toa maoni yako/mtazamo wako Click to expand... Huwa kuna muda akili haitaki kuwaza chochote kabisaaa
JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,966 May 22, 2018 #18 kritika said: Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother? Click to expand... Kwani wanawake wote kigezo cha kukuacha ni hicho? Wengine hawaangalii hicho kama ni pesa atakushauri mtafute pamoja na si kukuacha, hiyo ni tabia ya malaya tu.
kritika said: Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother? Click to expand... Kwani wanawake wote kigezo cha kukuacha ni hicho? Wengine hawaangalii hicho kama ni pesa atakushauri mtafute pamoja na si kukuacha, hiyo ni tabia ya malaya tu.
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,967 Reaction score 7,661 May 22, 2018 #19 New member mada nyingi ni za Facebook na Instagram sio mbaya utabadilika mimi pia nimetokea huko
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 May 22, 2018 #20 STRAGGLE MAN said: Dawa ya sumu ni sumu Click to expand... Bampa to bampa!