Wanaume leo na nyie mseme hamwezi date na wanawake wa aina gani?

Aisee!mi kudate na mwanamke anayenyoa kiduku siwezi huwa ni wahuni..

Na mwanamke anayetumia simu kubwa siwezi hawa huwa kichwani ni empty..

Alafu wengine tunapendaga Ku date na mwanamke ambaye anajua king'eng'e kidogo hata kwenye kuchat inapendeza sio muda wote kiswaz
 
Aisee! Wakati mwingine katika mahusiano kuna vibwanga vingi hasa pale wanawake wanapotofautiana tabia na mienendo ila wakati mwingine wanaume huwa tunaangalia ni wanawake gani wa kudate nao.

Kwa mfano mimi siwezi kudate na mwanamke anayenizidi elimu kwanza nitashindwa kuwezana naye kwasababu ni wajuaji sana Bora nidate na Kinda mwenzangu ndo tutaelewana sio wale wa viingereza vingi hadi kukuchamba anakuchamba kwa kiingereza

Lakini ni wanawake wanao nyoa kiduku siwezi date nao kwasababu nahisi watakuwa wahuni sasa mwanamke atakuaje mhuni kiasi hicho. Hiyo ni moja tu ya aina ya mwanamke ambaye binafsi mimi siwezi kudate naye Ila zipo nyingi tu kwa wanaume wengine.

Wengine wanaweza kukwambia siwezi date na demu wa uswazi bora nidate na wa kishua coz wa kiswazi anaomba mpunga sana
Mwanamke asiye na sheshima ( Respect)
 
Back
Top Bottom