DEGIJONZE
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 144
- 89
Jaman naomba msaada tutani,hivi kwanin siku hizi kwenye mahusiano ya kimapenzi wanaume ndo tumekuwa tunashutumiwa na kusingiziwa na hawa wenzetu wa jinsia nyingine, kwamba sisi ndo chanzo cha matatizo kama vile michepuko,na kiuhalisia siyo kweli.
naomba msaada kwa hili maana linachosha na kuudhi.
naomba msaada kwa hili maana linachosha na kuudhi.