Wanaume kwanini mkimaliza kufanya mapenzi mnakimbilia kunywa maji?

Muzine

JF-Expert Member
May 4, 2017
32,366
60,406
Wasaalam !

Tupo kwenye kipindi cha majonzi tunachopaswa ni kumshukuru mungu kwa kila jamboo .

Nije kwenye mada najiuliza maswali mengi sipati majibu .
Kwanini mwanaume akimalizaa tu kufanya mapenzi anakimbilia glass ya maji anakunywa?

Nini sababu ya kunywa maji kwa mwanaume baada ya kumaliza kupiga show la kibabe?

Yani mwanaume akimaliza kugegeda anakimbilia kunywa maji utayasikia yanavyopita kwenye koo gudugudugudugudu najiuliza kwanini?

Naomba niwaambie nimeshadate na wanaume zaidi ya 3 na kuendelea maana watu wengine watakuja kuuliza ooh nimejuaje kwahiyo nawaambia kama wewe unajifanya mtakatifu sijui oooh mm nimedate na mwanamke mmoja au mwanaume mmoja nenda kamdanganyeee mtoto aliyezaliwa siku hiyohiyo.

Hakuna mtu ambaye hajafanya sex na wapenzi zaidi ya watatu hakuna kabisa so sihitaji blablah blah sjui Demisss oooh sjuii eeeh nina experience na hili swali so naombeni majibu kwanini mkimaliza tu kugegeda mnakunywa maji ?

Niliodate nao nimewauliza wananiambia ni kiu tu sasa nauliza hiyo kiu kwann itokee hasa kwa mwanaume tu na siyo kwa wanawakeee why ?

Nakumbuka kuna video ya Naigeria anaonyeshwa mkaka yupo na limama libonge linapiga show ya kibabe baada ya muda yule mkaka akaanza kusema.

"Water water water please"
Akanywa maji karibia chupa 5

Najiuliza kwann wanaume mnywe maji baada ha show why?

Yawezekana wanawake huwa tunawashinda kunako 6*6 mbona sisi hatukimbilii kunywa maji kama wanaume.

Yani mwanaume akimaliza game anaanza kutafuta mmaaaa mmaaaaaa mmaaaaa sijui kwann ?

Mrs Jr.
R.I.P AGGY.
 
Mshanajr tusaidie kumwelewesha shemeji yetu.
 
Duh kitu simple sana na hili joto la daslam halafu unakata mauno for 30 or 40 minutes unadhani nini kitatokea? Au uwe na damu Baridi, otherwise water is life. Ingawa mimi sio mmojawapo wa wagegedaji maji after mgegedo match
 
Maji gan!?? Mi sinywi
FB_IMG_1524255754908.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom