Tena walala hoi ndiyo wanajua ku care vizuri subili pesa iongezeke ndiyo utajua hata nguvu za kiume huongezeka kwa ajili ya michepuko sio kwa mke waliye sota naye wala msisingizie maisha tena wasijua kesho watakula nini wanapeana moyo kweliUtakuwa romantic wakati hujui kesho utakula nini atakama unauhakika hujuii lini biashara yako itafungwa hahhahahahahahahahaha Romqntic ni kwa wenye uhakika na maisha sio lala hoi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mwenye akili timamu mtu yeyote akimshauri hata wakiwa wanaongea vitu ambavyo hata kwake vipo huchutama chini nakuangalia hapa nami naweza fanya hili laweza nisaidia sio kubeba yote takataka vinyesi kamq mbwa koko kwenda kufungulia mbele ya safari huchuja hapo, wata washauri wa ndoa hushauri na kuwambia haya nendeni nyumbani mkayamalize mkifika huko si ndiyo mnaanza kupembua mchele na maweKweli kabisa kwa akili yako unategemea comments za JF ziboreshe mahusiano yako? Kumbuka mapenzi ni sanaa na kama huwezi usanii endelea kusikilizia maumivu tu.
Haya soma ujifunze kituuNipo
Star kwani mimi sipo romantic... unataka nikulambe hadi wapi ndiyo ujue niko romantic wewe?Kuna wanaume hapa duniani unatamani uwe nae muda wote asikuache ,anavyokuongelesha,,anavyojalii,,jinsi anavyokufanya huku anakuongelesha ,,,yaan huyo hata akikuita njoo sehemu flan hata huchelewi kwenda ,,
Lakin sasa kuna mengine sijui yalizaliwa wapi na kukulia wapi mi majitu ya hivi hapana bora nikae tu mwenyewe,jitu halijui kuvaa,halinukii,,hapana kabisa tena ukute na kikwapa juu ,,hunipati
Cc Daby
Sijakusemea wewe bana msomali wangu upo romantic na huo urefu sasa ufuuuuuStar kwani mimi sipo romantic... unataka nikulambe hadi wapi ndiyo ujue niko romantic wewe?
Tupo wachache ambao tupo romantic.Baadhi yenu ndio mlivyo.. Ni wachache mno wako romantic wakiwa kwenye mahusiano.
wanaosalia wote kwenye mapenzi kama wanajeshi wako kambini.. Khaa[emoji45]
Mwanaume muda wote yupo serious mbele ya mpenzi wake hadi kero.. Wengine hata kutumia maneno matamu kama sweet, honey, babe, pumpkin, laaziz hawana hilo kabisa... Yaani basi mpo wote ndani akutekenye kiuchokozi akutanie kidogo wapii!!
Mkitembea wote barabarani humshiki hata mkono.. Sura kavu kama boss kwa mfanyakazi wake... Mkipanda kitandani sasa utaskia "Panua bwana usinipotezee mda wangu" or *Kama hutaki ondoka"..
Hii ndio sababu mojawapo kwanini mnachapiwa ..
Kuwa romantic kunapagawisha mwanamke.. Anajiona yupo kwenye himaya sahihi.. Anajiamini we ni wake tu na umempenda kweli.. Anakuwa huru nawe na pia kukueleza na kukuonyeaha hisia zake..
Mshike mkono mkitembea. Kama unajua kuimba mwimbie nyimbo za kimapenzi..
mdekeze, mbembeleze, hold her hand and tell her ni kiasi gani unampenda na malengo yako kwake..
Mjali kuwa mtaratibu na mbunifu wakati wa tendo nae afurahie (Sihamasishi uzinzi.. Muoane[emoji35] [emoji49])
Wewe huoni kwemye matamsha ya wanamuziki wa kiume..kama Diamond.. Nsync.. Westlife.. Justin Bieber etc!...
Wadada wanajazana mbele..wanagombania kuwashika mkono.. Trust mi zile nyimbo zenye mchananyiko wa maneno matamu ya kimahaba na sauti ya kiume vinawafanya wapagawe.. Wanalia mpaka wengine wanazimia kwa furaha..
Shauri yako..
Kweli kabisa si uongo wengine wengi ni shida tuuuuuuuTupo wachache ambao tupo romantic.