Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
Nikufanyie yote hayo na mkate wa kila siku ntatafuta saa ngapi!!?baadhi yenu ndo mlivo..ni wachache mno wako romantic wakiwa kwenye mahusiano.
wanaosalia wote kwenye mapenzi kama wanajeshi wako kambini..khaa[emoji45]
mwanaume mda wote yupo serious mbele ya mpenzi wake hadi kero..
wengine hata kutumia maneno matamu kama sweet,honey,babe,pumpkin,laaziz hawana hilo kabisa...yani basi mpo wote ndani akutekenye kiuchokozi akutanie kidogo wapii!! mkitembea wote barabarani humshiki hata mkono
sura kavu kama boss kwa mfanyakazi wake... mkipanda kitandani sasa uraskia "panua bwana usinipotezee mda wangu"
or *kama hutaki ondoka"...
hii ndo sababu mojawapo kwanini mnachapiwa ..
kuwa romantic kunapagawisha mwanamke..anajiona yupo kwenye himaya sahihi..anajiamini we ni wake tu na umempenda kweli..
anakuwa huru nawe na pia kukueleza na kukuonyeaha hisia zake.
mshike mkono mkitembea
kama unajua kuimba mwimbie nyimbo za kimapenzi..
mdekeze
mbembeleze
hold her hand and tell her ni kiasi gani unampenda na malengo yako kwake..
mjali
kuwa mtaratibu na mbunifu wakati wa tendo nae afurahie (sihamasishi uzinzi..muoane[emoji35] [emoji49] )
we huoni kwemye matamsha ya wanamuziki wa kiume..kama diamond..nsync..westlife..justin bieber etc!!..wadada wanajazana mbele..wanagombania kuwashika mkono..trust mi zile nyimbo zenye mchananyiko wa maneno matamu ya kimahaba na sauti ya kiume vinwafanya wapagawe..wanalia mpaka wengine wanazimia kwa furaha..
shauri yako..
[emoji13] [emoji13]Na nyie mkiomba hela muombe kiromantic pia,
sio utatuma hutumi,kama hutumi niambie!
Mi kumwita mtu pumpkin siwez kwa kweli kama ananipa anipe tu kama hawez basbaadhi yenu ndo mlivo..ni wachache mno wako romantic wakiwa kwenye mahusiano.
wanaosalia wote kwenye mapenzi kama wanajeshi wako kambini..khaa[emoji45]
mwanaume mda wote yupo serious mbele ya mpenzi wake hadi kero..
wengine hata kutumia maneno matamu kama sweet,honey,babe,pumpkin,laaziz hawana hilo kabisa...yani basi mpo wote ndani akutekenye kiuchokozi akutanie kidogo wapii!! mkitembea wote barabarani humshiki hata mkono
sura kavu kama boss kwa mfanyakazi wake... mkipanda kitandani sasa uraskia "panua bwana usinipotezee mda wangu"
or *kama hutaki ondoka"...
hii ndo sababu mojawapo kwanini mnachapiwa ..
kuwa romantic kunapagawisha mwanamke..anajiona yupo kwenye himaya sahihi..anajiamini we ni wake tu na umempenda kweli..
anakuwa huru nawe na pia kukueleza na kukuonyeaha hisia zake.
mshike mkono mkitembea
kama unajua kuimba mwimbie nyimbo za kimapenzi..
mdekeze
mbembeleze
hold her hand and tell her ni kiasi gani unampenda na malengo yako kwake..
mjali
kuwa mtaratibu na mbunifu wakati wa tendo nae afurahie (sihamasishi uzinzi..muoane[emoji35] [emoji49] )
we huoni kwemye matamsha ya wanamuziki wa kiume..kama diamond..nsync..westlife..justin bieber etc!!..wadada wanajazana mbele..wanagombania kuwashika mkono..trust mi zile nyimbo zenye mchananyiko wa maneno matamu ya kimahaba na sauti ya kiume vinwafanya wapagawe..wanalia mpaka wengine wanazimia kwa furaha..
shauri yako..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Nyinyi wenyewe saa zingine mnakera.kila saa tu Hela sijui wigi mara nikakombelee nguo kwa fundi mara sijui vikoba ahaaa! Mara hujakaa vizuri watu wa Finca wamekuja kuchukua makochi eti marejesho yamechelewa.haàaa ! Wanachukua Romantic yote na kuicha Mkatoriki
Tunajadili mambo ya hela hela kama tuko kwenye ubia wa kibiashara vile na wala siyo ndoa
akithbitisha unitagHebu thibitisha kuwa WEWE upo Romantic.
Hebu tafsiri maneno yafuatayo kwa kiswahili tupime uromantic wake:-Hivi romantic Mpaka uongee kizungu? Kwanini tusitumie lugha zetu za asili..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Lugha ziko kiromantic hata huwezi jua kama wanagombana...Hivi romantic Mpaka uongee kizungu? Kwanini tusitumie lugha zetu za asili..??
Sent using Jamii Forums mobile app