Wanaume kwa Wanawake - Je Wajua

Sikujua ila nilijua tu kuwa kikwapa cha mwanamume ni dawa ya kuzifanya siku zitulie
 
Chaaaaaa ..uchafu huo nipake mdomo wanguuu.... ptuuuuuu never[emoji30] [emoji31] [emoji43]
 
Njoo nikupake bhana, acha hizo
Ukitaka mwanamke awe na furaha muda wote mpe money,,,mpe mpee mpeee alafu mpe tena money . . .
Izo tafiti za kikwapa hapana asee [emoji25]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…