Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Mmmmmhh!! Nina wasiwasi na ukweli kwa vitendo na hii comment yakowanaume wachache sana wa kufanya hivyo... kama ni damu yake mwenyewe hawezi mkataa ila kama na we mwanamke hukutulia anakua na wasiwas wa kupakaziwa!!!
Mmmmmhh!! Nina wasiwasi na ukweli kwa vitendo na hii comment yako
Hadithi hii nikwapande zote mbili mwanamke na mwanaume
Mimi namfahamu mwanamke aliyetelekeza nyumba yake na watoto akaenda kwa mchepuko na mmewe alimfuma zaidi ya Mara tano kila Mara alikuwa anamsihii aachane naye kagoma Leo anajuta anawayawaya mjini
Kusalitiwa kupo pande zote
Shkamoo Mazoko