unakua na mwanamke unamkuta na maisha yake mazuri na furaha tele!!! unamwambia unampenda na ahadi kibao mpaka kwenu unampeleka ikibidi hata anapoishi unamuamisha na kukufata wewe kama na kazi/ biashara zake anasitisha na kurudi nyuma ili tu akufate ulipo!!!! baada ya kumpa ujauzito unamwambia haumtaki wala haumpendi tena umepata mwingine tena unamtamkia maneno hayo mazito akiwa na ujauzito miezi saba! humuonei hata huruma na hali yake jmn!!! hata mtoto humuonei huruma.. hata hufikuriii tayar mwenzio umemrudisha nyuma kimaendeleo, mbaya zaidi ni wewe ulikua unamlilia kila siku unaham na mtoto !!!!
kumbuka aliacha kila kitu kwa ajiri yako kuweni na hofu ya mungu jaman.. kumbukeni mungu yupo tu!!!!
Mtu akiwa honest kuwa hataki commitment ni just good times mnamuona wa ajabu kumbe hadi mkutane na vimeo ndo mjifunze
Kila kitu na sababu yake. Kuna mengi nyuma ya pazia. Unaeza ukahadithia kwa hyo njia tukaona huruma ila na huyo mwanaume akiongea unaweza kuona wanawake washenzi.
One sided story
mleta mada yamekukuta wewe au maaana nimepata picha ya hisi
Hayo mengine yote inawezekana ikawa sawa lakini kitendo cha kukubali kuzifanya biashara zako zirudi nyuma ni tatizounakua na mwanamke unamkuta na maisha yake mazuri na furaha tele!!! unamwambia unampenda na ahadi kibao mpaka kwenu unampeleka ikibidi hata anapoishi unamuamisha na kukufata wewe kama na kazi/ biashara zake anasitisha na kurudi nyuma ili tu akufate ulipo!!!!
Duh! ....baada ya kumpa ujauzito unamwambia haumtaki wala haumpendi tena umepata mwingine tena unamtamkia maneno hayo mazito akiwa na ujauzito miezi saba!
Wenye hofu ya Mungu tupo wengi sana ila tatizo lenu na nyie ni ma bandidu sana,utadhani mmepitia chuo cha kuwatenda wanaumehumuonei hata huruma na hali yake jmn!!! hata mtoto humuonei huruma.. hata hufikuriii tayar mwenzio umemrudisha nyuma kimaendeleo, mbaya zaidi ni wewe ulikua unamlilia kila siku unaham na mtoto !!!!
kumbuka aliacha kila kitu kwa ajiri yako kuweni na hofu ya mungu jaman.. kumbukeni mungu yupo tu!!!!
Mtu anakuambia anataka mtoto na wewe unakubali kuzaa wakati wewe unataka ndoa...?
Ukiambiwa nataka mtoto mwambie afuate procedure unless na wewe uko tayari kuwa single mother...
Pole...rudi kwenye biashara zako ujitafutie pesa umlee mwanao...
Ila siku nyingine usiache biashara kumfuata mwanaume...