Wanaume kutembea wameshikana mkono

Ni dalili za u sho ga + u ma ma = jicho

Sasa ilo jicho ukili plus tena na mtulinga, jibu lake unaliweke kwenye power 10 ndo unapataka kushikana mikono
 
Sehemu na sehemu maana wahindi wanashikana but ni kawaida kwao
 
Hilo jambo kikawaida halileti picha kwenye jamii hasa nyakati hizi ambapo ushoga umeshamiri na kutamalaki.....!!!

NB;

Labda kwa kumsaidia kutembea mtu aliyepatwa na tatizo

 
Hapo hili zungu ndio linatembezewa dudu unaona lilivyolegea mikono
Wala siyo zungu hapo yote yamwlainika .. Hasa hasa huyo mwenye tishet ya pink .. Kwisha kazi yake .. Ata kwenye hiyo simu anachagua miboo ya kumstimulate..

Wacha wale raha kwa starehe zao.. Nothing to wonder any more.. Ata Deo anajua
 
Waga sielewi inakuaje wanaume kutembea wameshikana mikono
Ni kuwa niurafiki au?
Zamani haikuwa shida, ilionyesha umoja na msisitizo wa jambo mnalozungumzia, sie wasukuma hata kulala chumba kimoja haikuwa shida lkn kwa dunia ya shetani ya sasa kushikana mikono ni mashaka matupu
 
It's really weird though...

Kwa sababu unapotembea na mwanamke mkiwa mmeshikana mikono, mwanamke hurembua rembua na kujilegeza...
Sasa kwa midume kushikama mikono inasaikitisha sana...

cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…